EXCLUSIVE: Milionea Sumry hataki tena kusikia biashara ya Mabasi, katuonyesha alikojichimbia

25 Oct 2017 07:31 589
927,331
Millard Ayo Download
4,124 496

Utajiuliza imekuaje Milionea akauza Mabasi yake yote 80? nini kilisababisha? AyoTV imempata Milionea Sumry aliekula hela zetu sana kwa kupanda Mabasi yake lakini sasa hivi hataki kusikia tena biashara ya Mabasi... kajichimbia wapi?

Related of "EXCLUSIVE: Milionea Sumry hataki tena kusikia biashara ya Mabasi, katuonyesha alikojichimbia" Videos