Siku 15 tangu kukamatwa Almasi Airport, watuhumiwa Mahakamani

15 Sep 2017 02:40 1
1,650
6 1

Ikiwa zimepita takriban siku 15 tangu kuzuiliwa kwa madini ya Almasi yliyokuwa yanasafirishwa nje ya nchi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa ya JK Nyerere DSM, watathmini wa Serikali wa Madini ya Almas wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo wakikabiliwa na kosa la kuisababishia Serikali hasara ya Tsh. Bilioni 2.4.

Related of "Siku 15 tangu kukamatwa Almasi Airport, watuhumiwa Mahakamani" Videos