104- Kuangalia Musalsal Na Filamu Za Kiislamu Ramadhaan - ´Allaamah al-Fawzaan

06 Jul 2012 00:54 1
3,382
MirathiYaMitume Download
4 0

104- Kuangalia Musalsal Na Filamu Za Kiislamu Ramadhaan - ´Allaamah al-Fawzaan

Swali:

Ipi hukumu ya kuangalia musalsal [maigizo/seires] za Kiislamu katika Ramadhaan?

´Allaamah al-Fawzaan:

Hakuna musalsal za Kiislamu. Hizi musalsal ni mchezo na pumbazo, vijekesho na kupoteza wakati. Muislamu hapotezi wakati wake hususan katika Ramadhaan kwa kuangalia musalsal na filamu. Na mchezo na pumbazo. Na huenda kuna batili na kumithili wanachuoni na watu wema au Maswahaba. Wanawamithili kwa umbile baya na la kuchekesha. Hili halijuzu. Waislamu walikuwa hawajui hizi filamu ila tu wakati zilipopatikana kwa makafiri. Kuna ufuataji wa kichwa mchunga kwa makafiri.

Chanzo: http://www.alfawzan.af.org.sa/allmohadrat?page=4

Related of "104- Kuangalia Musalsal Na Filamu Za Kiislamu Ramadhaan - ´Allaamah al-Fawzaan" Videos