Bodi ya Baraza la Wadhamini la CUF limefungua kesi dhidi ya Msajili wa Vyama vya Siasa.

20 Oct 2016 03:41 0
880
3 0

Bodi ya Baraza la Wadhamini la Chama cha Wananchi CUF limefungua kesi Mahakama Kuu dhidi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, AG George Masaju, Mwenyekiti wa zamani wa chama hicho, Profesa Ibrahimu Lipumba na wafuasi 12 waliotimuliwa na chama hicho.

Related of "Bodi ya Baraza la Wadhamini la CUF limefungua kesi dhidi ya Msajili wa Vyama vya Siasa." Videos