Wanafunzi 200 wanaotoka familia zisizojiweza wafadhiliwa Vihiga

13 Jan 2020 01:56 2
1,055
KTN News Kenya Download
16 2

Leo Ikiwa Siku Ya Wanafunzi Wa Kidato Cha Kwanza Kujiunga Na Shule Za Sekondari, Zaidi Ya Wanafunzi 200 Kutoka Familia Zisizojiweza Katika Kaunti Ya Vihiga Wana Kila Sababu Ya Kutabasamu Baada Ya Kupokea Ufadhili Wa Karo Ya Miaka Minne. Wengi Wao Ni Mayatima Ni Wale Waliopata Zaidi Ya Alama 370. Baadhi Walikuwa Wameanza Kufanya Kazi Za Vibarua Baada Ya Kutoweza Kujiunga Na Shule Walizoitwa.

#Kenya #KTNNews #KTNPrime

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android

KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Related of "Wanafunzi 200 wanaotoka familia zisizojiweza wafadhiliwa Vihiga" Videos