Nusuru ya uchawi

24 Sep 2012 05:56 0
3,310
KTN News Kenya Download
1 1

Streaming LIVE from Kenya at http://ktnkenya.tv/
Wapo watu wengi wanaoamini kuwa zipo nguvu za uchawi, na kwamba nguvu hizo zinatumaiwa kusababisha maafa makuu katika jamii. Hata hivyo wasomi na watafiti wa kisayansi hawajaweka wazi wala kuelezea kikamilifu jinsi nguvu hizo zinatumika. Hali hiyo imeacha washukiwa wengi wa uchawi wakihangaishwa na kuuawa bila ya thibitisho mwafaka kutolewa dhidi yao. Na sasa inachipuka kuwa wengi husingiziwa uchawi kufuatia wivu, chuki, tofauti na uhasama wa watu katika jamii. Katika sehemu ya pili ya makala maalum nusuru ya wachawi, baadhi ya washukiwa wanaelezea jinsi maisha yao yamewekwa hatarini

Related of "Nusuru ya uchawi" Videos