ALL GOALS: Simba vs AFC Leopard August 8 2016, Full Time 4-0

09 Aug 2016 11:02 55
257,207
382 119

August 8 2016 siku ya Simba Day ilihitimishwa kwa wekundu wa Msimbazi Simba kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya klabu ya AFC Leopard ya Kenya na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 4-0, magoli ya Simba yalifungwa na Ibrahim Ajibu dakika ya 38 , 60 Shiza Kichuya dakika ya 66 na Laudit Mavugo.

Related of "ALL GOALS: Simba vs AFC Leopard August 8 2016, Full Time 4-0" Videos