Inasikitisha: Baba Ampa Mimba Mwanae!

17 Nov 2017 11:54 81
307,139
570 269

INASIKITISHA,katika hali isiyo ya kawaida mama mmoja Aliyejitambulisha kwa jina la Sakina Abdallah ameonekana kuangua kilio baada ya mumewe kudaiwa kumpa ujauzito mwanaye wa kufikia.
Akisimulia tukio hilo mama wa mtoto huyo aliyedai kwa sasa kuishi jijini Dar es Salaam akitokea Mkoani Tanga ameelezea masikitiko yake ya mumewa kudaiwa kumpa mtoto wao ujauzito wa miezi tisa sasa.
Akizungumza na mwandishi wa habari wa mtandao huu mama huyo ameelezea namna ambavyo alizipokea taarifa za ujauzito wa mwanaye kutoka kwa majirani aliokuwa akiwaeleza mwanaye kwamba anaujauzito wakati huohuo mama huyo akioneshewa kutokuheshimiwa na mwanaye huyo aliyemtaja kwa jina mkoja na Mwanaisha.

Related of "Inasikitisha: Baba Ampa Mimba Mwanae!" Videos