Nyuki wa Maajabu Mombasa

21 Jul 2013 02:06 11
76,872
KTN News Kenya Download
78 22

Ushawahi kuwaona nyuki wasiouma na wale wanaopenda limau? Basi ni tukio lililowashangaza wakaazi wa Bengala eneo la Mishomoroni Mombasa kwa kuvamiwa na nyuki ambao hawaumi na wanaopenda mchuzi wa mama mmoja. Uvamizi huu wa nyuki kutoka eneo la mishomoroni umewaacha wengi na maswali chungu nzima yanayofungamana na itikadi za kiushirikina .
Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on http://www.ktnkenya.tv
Follow us on http://www.twitter.com/ktnkenya
Like us on http://www.facebook.com/ktnkenya

Related of "Nyuki wa Maajabu Mombasa" Videos